ROYAL MGWASI PROJECT

UJENZI MZURI HUANZIA KATIKA MAWAZO IMARA NA WATAALAMU WENYE UZOEFU NA KAZI

COLLATE GRAFT

Tuna uzoefu wa kufanya kazi nzuri kwa kipindi cha zaidi ya miaka 25

NYUMBA YAKO FAHARI YETU

Tunahakikisha wewe na familia yako hamjutii maamuzi yenu

152+

Miradi Imekamilika

35+

Wataalamu

35+

Miaka ya Uzoefu

99%

Wateja Walioridhika

Tunachofanya

Huduma zetu za Kitalamu

Ujenzi wa Majengo

Tunajenga maghorofa, nyumba za kuishi na viwanda kwa viwango vya kimataifa.

Uchoraji Ramani

Tunatengeneza michoro ya 3D na ramani za uhakika zinazozingatia sheria za ujenzi.

Usimamizi wa Miradi

Tunahakikisha mradi wako unaisha kwa wakati na kwa gharama nafuu bila wizi wa vifaa.

Kazi Zetu

Miradi Iliyokamilika

Tuandikie Ujumbe

Ofisi Zetu

Tupo wazi kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi, saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

Mbeya, Tanzania
0785370375