UJENZI MZURI HUANZIA KATIKA MAWAZO IMARA NA WATAALAMU WENYE UZOEFU NA KAZI
152+
Miradi Imekamilika
35+
Wataalamu
35+
Miaka ya Uzoefu
99%
Wateja Walioridhika
Tunajenga maghorofa, nyumba za kuishi na viwanda kwa viwango vya kimataifa.
Tunatengeneza michoro ya 3D na ramani za uhakika zinazozingatia sheria za ujenzi.
Tunahakikisha mradi wako unaisha kwa wakati na kwa gharama nafuu bila wizi wa vifaa.
Tupo wazi kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi, saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.