Tunaweka viwango vipya katika ujenzi wa kisasa nchini Tanzania kupitia miradi yenye ubora na uimara wa kipekee.
Timu yetu iko tayari kuleta ubunifu na uzoefu kwenye wazo lako. Tuwasiliane leo tuanze safari ya ujenzi.
Omba Makadirio ya GharamaTupo wazi kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi, saa 2:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.